BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MAREKANI YAJITOSA KUPIGA JEKI AFRIKA ILI KUPAMBANA NA EBOLA PAMOJA NA VIFAA VYA KIJESHI.


Rais Barack Obama wa Marekani

Serikali ya Marekani imeahidi kusaidia mapambano dhidi ya Ebola,
Rais Barack Obama amesema nchi yake itapeleka vifaa vyake vya kijeshi ili kusaidia kupambana na ugonjwa huo uliozuka katika nchi za Afrika Magharibi.

Akizungumza katika kipindi cha televisheni ya NBC, nchini Marekani, Rais Obama amesema iwapo dunia haitachukua hatua za haraka, ugonjwa wa ebola utaweza kusambaa nje ya Afrika na kutishia usalama wa nchi yake.BBC
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: