Mbunge wa jimbo la Morogoro mjini Abdullaziz Abood kulia akiondoka katika kiwanja plot no 121 kinachodaiwa kumilikiwa na Zaituni Jenela (62) anayedaiwa kudhurumiwa na mmoja wa maafisa wa Manispaa ya Morogoro na kupatiwa mtu mwingi eneo la kando ya barabara kuu ya Dae es Salaam Morogoro kata ya Kichangani Morogoro, kushoto ni mjumbe wa baraza la bakwata mkoa wa Morogoro, Rajabu Sekilindo. PICHA/MTANDA BLOG

Mkazi wa Manispaa ya Morogoro Zaituni Jenela (62) akimlalamikia jambo mbunge wa jimbo la Morogoro mjini AbdullazizAbood juu ya kudhurumiwa kiwanja chake kisha kumpatia mtu mwingine eneo plon no 121 Morogoro. PICHA/MTANDA BLOG.
Tukio hilo lilijitokeza hivi karibu kwa mkazi huo kuangua kilio cha kuomwomba mbunge kumsaidia ili kuweza kupata kiwanja chake kinachoonekana kina mwelekeo wa kudhurumiwa.

0 comments:
Post a Comment