NI MSIMU WA AJALI ?, NI AJALI NYINGINE YATOKEA SINGIDA LEO. mtanda blog 5:48 PM Edit Lori aina ya Scania likiwa limeharibika baada kupata ajali kwa kuligonga lori lingine kwa nyuma lililosimama ghafla kwenye tuta katika Kijiji cha Isuna, Barabara ya Singida-Dodoma leo. Inadaiwa dereva wa lori hilo alikufa. Share on Facebook Share on Twitter Share on Google Plus About mtanda blog Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment