BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

WANAUME NA WANAWAKE WAANGUA KILIO BAADA YA MATOKEO YA KURA YA MAONI YA KUJITENGA SCOTLAND DHIDI YA UINGEREZA.


Kwa matokeo hayo, Scotland itaendelea kuwa sehemu ya Uingereza na Waziri Kiongozi wa Scotland Alex Salmond amesema ameridhia kuanguka katika mchakato wa kura ya maoni.


Wananchi wa Scotland waliokuwa wakitaka kujitenga na Uingereza wakiangua kilio huku walioshinda wakiwa na furaha baada ya matokeo kutangazwa. MATOKEO ya kura za maoni nchini Scotland yametoka, kura 1,914, 187 sawa na 55% wamepinga kuendelea na Uingereza huku kura 1,539,920 sawa na 45% wakitaka kujitenga.
Hawa ni sehemu ya walioshinda kuendelea kujiunga na Uingereza wakifurahia ushindi wao.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: