
Kiungo wa Yanga SC, Andrey Coutinho akienda chini baada ya kuchezewa rafu na mchezaji wa Thika jana

Kiungo wa Yanga SC, aliyerudi kwenye fomu yake, Haruna Niyonzima akimiliki mpira mbele ya mchezaji wa Thika United ya Kenya jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam katika mchezo wa kirafiki. Yanga SC ilishinda 1-0.

Mfungaji wa bao pekee jana, Geilson Santana Santos 'Jaja' katikati akiwa amepoga shuti

Kiungo Hamisi Thabit akipiga pasi pembeni ya mabeki wa Thika

Winga wa Simon Msuva kushoto akimtoka beki wa Thika United kabla ya kutoa krosi iliyozaa bao pekee jana

Beki wa Yanga SC, Juma Abdul kushoto akimtoka beki mwenzake wa Thika

Haruna Niyonzima akifanya yake jana

Kikosi cha Yanga SC jana Taifa
0 comments:
Post a Comment