Mpira umemalizika kwenye Uwanja wa Taifa Jijini Dar es salaam. Timu ya Yanga ikiibuka na Ushindi wa bao 2-1 dhidi ya Timu ya Tanzania Prisons.FULL TIME...JKT RUVU 0 vs 2 KAGERA SUGAR, SALUM KANONI NA RASHID MANDAWA WAIPATIA USHINDA KAGERA.
Mabao ya Kagera Sugar yalifungwa na Salum Kanoni na Rashid Mandawa kwenye Uwanja wa Azam Complex Jijini Dar es salaam

0 comments:
Post a Comment