BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

BREAKING NEWS !!! ALIYEPIGWA RISASI KICHWANI MWAKA 2012 ASHINDA TUZO YA NOBEL 2014.


Mwanaharakati mwenye umri mdogo kutoka nchini Pakistan, Malala Yousafzai pamoja na mwanaharakati mwingine wa maswala ya watoto nchini Kailash Satyrathi, wameshinda tuzo ya amani ya Nobel.

Malala mwenye umri wa miaka 17, ni mshindi mdogo zaidi kuwahi kushinda tuzo hiyo katika historia yake.


Malala amekuwa akiendeleza harakati zake za kutaka watoto wa kike kuweza kupata elimu. Alipigwa risasi kichwani na kundi la Taleban nchini Pakistan mwaka 2012 kwa kutetea wasichana kupata elimu.BBC
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: