BREAKING NEWS !!! MLIPUAJI WA MILIPUKO YA MABOMU KATIKA MIKUSANYIKO YA WATU APIGWA RISASI NA POLISI ARUSHA.
Jeshi la polisi mkoani Arusha limemuua kwa kumpiga risasi mtuhumiwa namba moja wa milipuko ya mabomu katika mikusanyiko na kuwamwagia viongozi wa dini tindikali baada ya kujaribu kutoroka akiwa chini ya ulinzi akiwa njiani kwenda kuonyesha bomu alilokuwa amelificha maeneo ya kondoa mkoani Dodoma .
Taarifa iliyonifikia hivi punde kupitia Radio One Breaking News inahusu kuuawa kwa mtuhumiwa namba moja wa kesi ya ulipuaji mabomu jijini Arusha, Yahaya Hassan Omar kwa kupigwa risasi na askari wa jeshi la polisi wakati alipojaribu kutoroka akiwa chini ya ulinzi.
0 comments:
Post a Comment