BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

JE UNA HITAJI KUPUNGUZA UNENE WA MWILI ?.


UNENE ni hali ya mwili kuongezeka kupita kiwango cha kawaida hii hutokana na sababu mbali mbali zikiwamo.


1) KURIDHI KUTOKA KWENYE FAMILIA (genetic influence).

2) KULA ZAIDI YA KIWANGO.

Kula chakula kwa wingi na kua na utendaji mdogo yaani kutokufanya mazoezi au kuushughulisha mwili ili uchome mafuta kwa kiwango sawa sawa na kiwango kile ulicho kula

3) MATATIZO YA KIAFYA .

Ni kama kiungo kiitwacho thyroid kutokutoa homoni kwa kiwango kinacho itajika (hypothyroidism)

4) MADAWA.

Kuna baadhi ya madawa ambayo hupunguza kasi ya uchomaji wa mafuta ndani ya mwili au hukuongezea hamu ya kula saana (corticosteroids, antidepressants,seizure medicines)

NINI TIBA YAKE:
Chukua MATUNDA ya APPLE MATANO katakata vipande vidogo vidogo halafu weka CHUMVI vijiko VITANO kisha funika uache vikae masaa KUMI kisha utakuta imejichuja hapo chukua MAJI yatakayo kua yamejichuja unywe ASUBUHI KABLA YA KULA CHOCHOTE utakua unaandaa USIKU ili utumie asubuhi kwa muda wa SIKU 21.

CHANZO http://tibazakissuna.blogspot.com
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: