BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

VIDEO YA OMBAOMBA FEKI AKIUMBULIWA NA MJUSI BAADA YA WASAMALIA WEMA KUMWEKEA KATIKA BAKULI NAYE AKIDHANI NI PESA, INAFURAHISHA NA UTAANGUA KICHEKO.

PICHA YA MAKTABA:
Wapo ombaomba orijino na wanasitahili kupatiwa msaada kutokana na matatizo yao ya kiafya lakini wapo ombaomba ambao hawastahili kabisa kupewa msaada kutokana na kuwa na uwezo wa kusaka pesa.


Hii video utaweza kuona ujanja unaotumiwa na watu wanaojifananisha na ombaomba orijino ili kupatiwa msaada lakini kilichotokea katika video hii ni kuumbuliwa kwa ombaomba feki baada ya kuwekewa mjusi katika bakuli lake la kuhifadhia pesa kutoka kwa wasamalia wema.

Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: