BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

WAZIRI WA ZAMANI ARUSHIANA RISASI NA MWANAYE WA KUMZAA MOROGORO.

Lucy Nkya (Naibu Waziri wa zamani) arushiana risasi na mwanae.

Dk. Lucy Nkya.


Mwenyekiti wa umoja wa vijana wa ccm mkoa wa Morogoro bw. Jonas Nkya.

Naibu Waziri wa zamani wa Afya na mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki, Lucy Nkya, amerushiana risasi za moto na mwanae wa kumzaa, Jonas Nkya ndani ya ofisi zao mkoani Morogoro leo huku chanzo kikitajwa ni mzozo wa kifamilia. Chanzo http://www.jamiiforums.com
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: