BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

AJALI HAINA KINGA !!! TOYOTA HIACE NAMNA ILIYOSABABISHA ABIRIA TISA NA KUJERUHI WENGINE TISA KUPOTEZA MAISHA SHINYANGA


Toyota Hiace yenye namba za usajili T761 CKD iliyokuwa ikitoka wilayani Kahama kuelekea mjni Shinyanga ikiwa imepinduka katika eneo la Buhangija Manispaa ya Shinyanga na kuuwa watu tisa na kujeruhi wengine tisa, baada ya kupinduka mara tatu kufuatia kuvuka tuta kisha kugonga daraja na kuangukia katika mtaro, chanzo chake ni mwendo kasi ambapo dereva wa gari hilo Anwar Awadhi mkazi wa Lubaga Shinyanga aliruka na kukimbia na kuaacha abiria wakiangua vilio vya uchungu wa maumivu ya majeraha, tukio hilo lilitokea jana Novemba 25 mwaka huu 2014.

Wananchi wakishuhudia ajali hiyo.

Gari likitolewa kwenye mtaro ni baada ya kuuwa watu tisa ambapo watano walikufa papo hapo .


Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: