BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

AKINA LULU, MASANJA, MWANAFA NA FID Q WAWACHARUKIA WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA ISHU YA UCHOTAJI FEDHA SH306 AKAUNTI YA ESCROW BAADA YA ZITTO KABWE KUSOMA RIPOTI BUNGENI DODOMA JANA.

 
Elizabeth Michael @OfficialLuluMKama Bunge la leo lingekuwa MOVIE...mauzo yangefika PLATNUM Ndani Ya dakika 15 pengine...!


Batuli_Actress @Batuli223
Mliotajwa kwenye wizi wa mabilioni muweke Tinted kwenye VX zenu wananchi wamechoma wanataka kumsaidia Izrael.

#BongoHiphop @FidQ.
Wafanye vitu vyote lakini safari hii sio KUJIUZULU tu.. pia tunataka mkwanja wetu na RIBA juu.. *Pachika tusi, Wale wa MAGUNIA.. Baada ya kupokea mgao toka kwa RUGEMALIRA THE DON!! 
  
Hamis Mwinjuma
@MwanaFA

Anna Makinda nyota 5, Leo mama kwa kuacha mwana asome hii kitu yote..umetisha dakika za majeruhi bi mkubwa..salute!
wanafuatiliwa na watafilisiwa pia..tumbili tupo serious tunataka hela zetu raundi hii aisee...(2/2), Basi kuna wanaodhani wale waliotajwa ndio wote,waaapiiii..kuna ambao jamaa hawakuona majina yao kwy ile miamala...(1/2).
 
J Ntuyabaliwe
@klyinn
Kwa ufupi tu nchi imeoza!Na imeoza kwa kuongozwa na baadhi ya viongozi majambazi wanaotumia akili badala ya silaha!Aibu kubwa!

MASANJA
@mkandamizaji

Hapa inabidi tu kila mtu awe mpole maana unaweza kuanza kuongoe sana kumbe jina lako liko kurasa za mwisho.
Leo nahisi malaika anayepokea sala za watu wa mjengoni yuko bize na kazi nyingine mwanawane. Ni sheeeeeda.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: