Mshambuliaji wa Arsenal Wilback akiwania mpira na mlinzi wa Man United katika mchezo uliomalizika kwa Arsenal kufungwa bao 2-1 ligi kuu ya England katika uwanja wa nyumba wa timu ya Arsenal, Emirates.
Kepteni wa Manchester united Wayne rooney akishangilia bao lao la kujifunga katika mchezo wao na Arsenal.
Wachezaji wa Man United wakipongezana kwa Ushindi waliupata pamoja na kuwa na kikosi kibovu sana. Wameitandika Arsenal Nyumbani kwake Emirates usiku wa jana kwa bao 2-1 katka mchezo wa Ligi Kuu nchini Uingereza.Rooney akishangilia bao lake baada ya kuifunga Arsenal bao la pili nakufanya 2-1 dhidi ya Wenyeji Arsenal katika Uwanja wa Emirates.
Mchezaji wa Zamani wa Man United, Wilback kulia kwa sasa akiitumikia Arsenal akibadilishana mawazo na mlinda mlango wa Man United baada ya mchezo kumalizika.

0 comments:
Post a Comment