MWANAMUZIKI Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' ametua nchini leo akitokea katika nchi ya Afrika Kusini alipokwenda kushiriki katika zoezi la utoaji tuzo za Channel O ambapo alibahatika kupata tuzo tatu kwa mpigo.
Tuzo hizo alizoshindwa ni pamoja na Most Gifted New Comer, Most Gifted Afropop na Most Gifted East kupitia wimbo wake wa Number One.


0 comments:
Post a Comment