BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

WAASI WA ISLAMIC STATE WADUNGUA NDEGE YA KIVITA INAYOONGOZWA NA MAREKANI.


Ndege ya jeshi la muungano unaoongozwa na marekani.

Wapiganaji wa Islamic State nchini Syria wamedai kuidungua ndege ya kivita ya muungano wa jeshi unaoongozwa na Marekani.

Shirika linalochunguza maswala ya haki za kibinadamu lenye makao yake mjini London ambalo linaunga mkono upinzani nchini Syria limesema kuwa ndege hiyo ilianguka karibu na mji wa kazkazini wa Raqqa unaodhibitiwa na IS.

Shirika hilo linasema kuwa rubani, raia mwarabu aliyekuwa akiendesha ndege hiyo ametekwa.

Baadhi ya ripoti zinadai kuwa rubani huyo ni raia wa Jordan.Jordan ni miongoni mwa mataifa ya kiarabu ambayo yanashiriki katika mashambulzi dhidi ya Islamic State.BBC
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: