Cristiano Ronaldo ameandika historia nyingine katika kitabu cha rekodi cha Real Madrid baada ya kufunga magoli mawili katika ushindi wa 3-0 waliovuna dhidi ya Getafe jana kwenye mechi ya La Liga.
Hakuna mchezaji yoyote katika historia ya Real aliyefunga magoli mengi ya ugenini kumzidi Ronaldo ambaye amefunga mabao 27 na 28 katika msimu wa ligi.
Gareth Bale pia aliifungia Real Madrid dakika za lala salama, ingawa wakali hao wa Bernabeu walikwenda mapumziko bila kufunga goli.
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
Home / michezo
/ MSHAMBULIAJI WA REAL MADRID CHRISTIANO RONALDO AZIDI KUWEKA REKODI LA LIGA HISPANIA.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment