BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

NAWAPONGEZA POLISI KUMPIGA PROF IBRAHIM LIPUMBA.

http://i2.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2015/01/Lipumba-Under-Arrest.jpg?resize=487%2C242 

YANAYOJIRI BUNGENI: KWANI KUPIGWA LIPUMBA NDIO TATIZO? NAWAPONGEZA POLISI KUMPIGA MHUSIKA - KASEMA LUSINDE.

Lusinde: Kwani kupigwa Lipumba ndiyo tatizo, wamepigwa viongozi wangapi hapa, Lipumba siyo wa kwanza kupigwa.

 

Lusinde: Nawapongeza Polisi safari hii kapigwa muhusika mwenyewe, ndiyo nzuri hiyo, siyo wapigwe wengine, kupigwa kazini ndiyo sawa

Lusinde: Bunge linapokwenda mwishoni wabunge wenye hali mbaya majimboni wanakuwa na hamsha hamsha ili wafikiriwe

Lusinde: Nawashauri wapiga debe mkiona watu wanaandamana magari hayatembei hampati pesa na nyinyi andamaneni.

Sadifa: Mnasema Lipumba kapigwa, hajapigwa hapo, kaguswa tu, huwezi kumlinganisha Lipumba na Kikwete.
East Africa Television (EATV)
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: