BREAKING NEWS: MEYA NA WAANDISHI WA HABARI WAPATA AJALI KATIKA MSAFARA WA MKUU WA MKOA MOROGORO.
MSTAHIKI MEYA WA MANISPAA YA MOROGORO, AMIR NONDO NA WAANDISHI WAWILI WA HABARI MANISPAA YA MOROGORO, ANITA CHALI AMBAYE NI MPIGA PICHA WA TBC NA HUSSEIN NOHA MPIGA PICHA ITV WAMEPATA AJALI, BAADA YA GARI LAO KUGONGWA NA BASI LA HAPPY AFRICA ENEO LA MZAMBARAUNI BARABARA KUU YA DAR ES SALAAM-MOROGORO LEO NA KULAZWA HOSPITALI YA RUFAA MKOA WA MOROGORO.
0 comments:
Post a Comment