TULIWAZUIA CUF KUHOFIA BUNDUKI ZILIZOIBWA IKWIRIRI.
https://www.facebook.com/eatv.tv?fref=photo.
Jeshi La Polisi limetoa sababu za kwanini lilizuia maandano ya wafuasi na viongozi wa Chama cha Wananchi (CUF) kwamba ni kutokana na kuibwa kwa bunduki saba katika kituo cha Polisi Ikwiriri wilayani Rufiji, mkoani Pwani ambazo pengine zingeweza kutumika katika mkusanyiko wa watu.
0 comments:
Post a Comment