BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

BREAKING NEWS: RAIS ANANUSURIKA BOMU.

Bomu limelipuka kazkazini mwa Nigeria nje ya uwanja mmoja wa soka ambapo rais Goodluck Johnathan alikuwa amehutubia mkutano wa kampeni za uchaguzi.

Walioshuhudia wanasema kuwa mlipuko huo ulitokea katika eneo moja la kuegesha magari dakika chache tu baada ya rais huyo kuondoka katika uwanja huo uliopo mji wa Gome.

Bwana Johnathan anafanya kampeni za kutaka kuchaguliwa tena katika uchaguzi unaotarajiwa tarehe 14 mwezi Februari,lakini anakabiliwa na changamoto kubwa ya usalama kutoka kwa kundi la Boko Haram huku kundi hilo likiimarisha mashambulizi yake.Siku ya jumapili watu watano waliuawa na bomu huko Gombe.BBC
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: