LIVE MATCH:SIMBA SC YAONGOZA, YAIDIDIMIZA PRISON KWA BAO 2-0 KIPINDI CHA KWANZA. mtanda blog 4:52 PM michezo Edit EMMANUEL OKWI ANASABABISHA PENALTI KATIKA LANGO LA PRISON NA MCHEZAJI, IBRAHIM AJIB ANAIFUNGIA TIMU YAKE YA SIMBA BAO LA TATU, SIMBA SC 3 PRISON O KATIKA KIPINDI CHA KWANZA AMBAPO KWA SASA MPIRA NI MAPUMZIKO WAKITOKA UWANJANI KWA KIFUA MBELE. Share on Facebook Share on Twitter Share on Google Plus About mtanda blog Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment