Mshambuliaji wa klabu ya Yanga SC Mrisho Ngassa ameiandikia timu yake bao 2-0 dhidi ya Mtibwa Sugar katika ligi kuu Tanzania bara mzunguko wa pili katika mchezo unaoendelea hivi sasa.
Yanga SC wanaongoza bao kupitia kwa Ngassa aliyeingia kipindi cha pili kuchukua nafasi ya mshambuliaji, Kpah Sherman.

0 comments:
Post a Comment