BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

SIMBA SC YAIDIDIMIZA PRISON KWA KUITANDIKA BAO 5-0 LIGI KUU TANZANIA BARA.

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiurGR_jDT6OHlSpSSALoEHcs9tt7nNU6Y8j_MFSdpBvMb_ljLMowNGMXHQNafTs-8eC3CbuL-mc0wutcwn1YT3-fQg1fN-O1BZG4Dg8orP3fFrVI3tL0PkPX1OBnSN2czncdMpW6Ox3PnP/s1600/Simba.jpg 
Mabao ya Simba sc yaliingizwa kimiani na mchezaji Ibrahim Ajibu aliyefunga bao tatu pekee yake huku Emmanuel Okwi na Ramadhan Singano wakifunga bao moja moja na kuifanya mchezo huo kumalizika kwa ushindi wa bao 5-0 dhidi ya Prison katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam katika ligi kuu Tanzania bara.

Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: