Watu 35 wamefariki dunia na wengine 55 wamejeruhiwa baada ya kuangukiwa na nyumba zao kufuatia mvua kubwa ya mawe iliyoambatana na upepo mkali iliyonyesha usiku wa leo,kata ya Mwakata wilaya ya kahama mkoani Shinyanga.
Endelea kufuatilia habari zetu kufahamu zaidi.

0 comments:
Post a Comment