BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

HIKI NDICHO KINACHODAIWA KUSABABISHA ZITTO KABWE KUSHINDWA KESI MAHAKAMA !.


Kilichosababisha kufutwa au kutupwa kwa kesi ya Zitto Kabwe dhidi ya CHADEMA ni technicalities tu. Hii ni baada ya mapingamizi 5 kukubaliwa. Kwa hiyo hata shauri la msingi halikusikilizwa. Kwa mfano.



1. Kesi kufunguliwa mahakama kuu haikuwa jambo sahihi kwani kesi hiyo ilipaswa kufunguliwa mahakama ya wilaya au mahakama ya hakimu mkazi (resident magistrate) kwa mujibu wa sheria ya mwenendo wa kesi za madai. 


2. Kesi ilikosewa kufunguliwa mahakama kuu registry kuu (main registry) badala ya mahakama kuu kanda ya Dar-es-Salaam (Dar-es-Salaam Registry).http://www.tanzaniaclassic.com
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: