Idadi ya Watu walio poteza maisha kutokana na mafuriko yaliyosababishwa na mvua Mkoani shinyanga imeonmgezeka kutoka watu 35 wa awali hadi kufikia watu 38 mpaka sasa ambao tayari wamesha thibitishwa.
Kamanda wa polisi mkoani Shinyanga Justus Kamugisha kuwa amesema kuwa watu waliofariki dunia kutokana na mafuriko hayo imetokana na kuangukiwa na nyumba na miti.

0 comments:
Post a Comment