BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

BREAKING NEWS !! BASI LA AIR JORDAN LAPATA AJALI NA KUUA ABIRIA NZEGA TABORA.



Abiria mmoja amefariki dunia na wengine 20 kujeruhiwa huku wawili kati yao hali zao zikielezwa kuwa ni mbaya kutokana na ajali hiyo ambayo imehusisha basi la Air Jordan lililokuwa likitokea Mwanza kuelekea Dar es Salaam.


Chanzo cha ajali ni mwendokasi na ajali hiyo imetokea katika eneo la Nzega mkoani Tabora.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: