BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MCHA HAMISI AFARIKI DUNIA JIJINI DAR ES SALAAM.

Mshambuliaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya Zanzibar Mcha Khamis amefariki usiku wakuamkia leo.

 
Mchezaji huyo ni Baba mzazi wa kiungo wa azam na Taifa Stars Khamis Mcha “Viali”.

Mzee Mcha Khamis amefariki baada ya kuugua kwa muda mrefu alisumbuliwa na matatizo ya njia ya mkojo, taratibu za mazishi zinafanywa. Klabu ya Azam inampa pole Viali na familia yake na kuwataka wawe na subra katika kipindi hiki kigumu. Innalillah wa innaillaih rajiun.

Hii inatokea siku tangu wiki moja na siku kadhaa ipite ambapo kiungo mkabaji wa Simba, Jonas Mkude naye alifiwa na baba yake mzazi
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: