Mshambuliaji Simon Msuva anafunga bao la pili kwa upande wake lakini likiwa bao la tatu kwa klabu yake ya Yanga SC dhidi ya Ruvu Shooting katika dakika ya 45 + 1, baada ya kuunganisha kwa kichwa krosi iliyochingwa na Haruba Niyonzima na kujaza mpira wavuni na kufanya mchezo huo kwenda mapumziko Ruvu Shooting ikifungwa bao la 3-0.

0 comments:
Post a Comment