Askari wa jeshi la wananchi wa Tanzania na wale wa jeshi la polisi wakibeba moja ya miili ya wanafunzi waliokufa kwa kupigwa radi ili kuingiza ndani ya gari tayari kwa taratibu za mazishi. (Picha zote na Fadhili Abdallah).
Mkuu wa mkoa Kigoma Issa machibya (katikati) akiongoza mamia ya wananchi wa mkoa Kigoma kuaga miili ya watu waliokufa kwa kupigwa na radi mjini Kigoma.
Mmoja wa wazazi ambaye mtoto amefariki kwa kupigwa na radi akipita kuaga katika miili ya wanafunzi,Mwalim na mmoja wa wananchi waliofariki kwenye tukio hili ambapo hapa ilibidi kusaidiwa na ndugu na jamaa baada ya kuishiwa nguvu.

0 comments:
Post a Comment