BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

THAMANI YA SHILINGI YA TANZANIA YAPOROMOKA ZAIID KWA DOLA MOJA YA MAREKANI.

http://ecopedia.hu/media/image/Tanzania-100shilling.jpg 

Shilingi ya Tanzania imeendelea kushuka hadi kufikia anguko la asilimia 20 dhidi ya dola ya Kimarekani, hali inayotajwa kuwa si tu inaathiri mitaji ya uwekezaji bali pia kipato cha mtu binafsi. 

 
Kwa sasa ubadilishaji wa shilingi ya Tanzania kwa dola ya Kimarekani imefikia shilingi elfu mbili kwa dola moja na kuathiri mwenendo wa kiuchumi.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: