BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

BONDIA MAYWEATHE AMELAZIMISHWA KUPIGANA NA MANNY PACQUIAO.

Kocha wa bondia Manny Pacquiao ,Freddie Roach ana wasiwasi huenda bondia Floyd Mayweathber afsitokeea kwenye mpambano wa mei 2.3



Roach amesema “Sidhani kama mabondia wana hofu ila sidhani kama Mayweather alitaka kupigana alilazimishwa kupigana pambano hili na hakulitaka.

"Sijui kwanini amekua mkimya sana kwenye mpambano huu maneno yake yana woga”

Hata hivyo Mayweather hakushangazwa na kauli hizo za kocha huyo na kudai "nitakuepo niliongea uchafu siku za nyuma lakini hili pambano linajiuza lenyewe”.

Pambano hili limeteka hisia kwa washabiki wa masubwi duniani kote huku homa ya mchezo ikiwa inapanda kila muda unavyozidi kukaribia pambano hilo hapo Mei 2.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: