BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

KIJANA ALIYEJITOKEZA KUMUOA MTOTO WA RAIS BARRACK OBAMA WA MAREKANI, YUPO TAYARI KUTOA MAHALI YA WANYAMA HAI 150.

Taarifa kuwa wakili mmoja wa Kenya amesema yuko tayari kutoa mahari kwa mtoto wa raisi wa Marekani, Barrack Obama zimeenea duniani kote Felix Kiprono amesema yuko tayari kutoa ng'ombe 50, kondoo 70 na mbuzi 30 kwa ajili ya mahari ya mtoto wa Obama.

http://i.huffpost.com/gen/1860238/images/o-MALIA-OBAMA-facebook.jpg
Wakali huyo anataka kumuoa Malia Obama hivyo anajiandaa kuzungumzia swala hilo na baba wa mtoto huyo atakapo tembelea Kenya mwezi Julai.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: