Mchezaji wa Azan FC, Bryson Rafael aliisawazishia timu yake dakika moja tu baada ya Yanga SC kupata bao la kuongoza na kufanya mchezo huo umalizike katika ngwe ya kwanza kwa kutoshana nguvu kwa bao 1-1.
LIVE: YANGA SC 1-1 AZAM FC KIPINDI CHA KWANZA LIGI KUU TANZANIA BARA UWANJA WA TAIFA DAR ES SALAAM.
Mchezaji wa Azan FC, Bryson Rafael aliisawazishia timu yake dakika moja tu baada ya Yanga SC kupata bao la kuongoza na kufanya mchezo huo umalizike katika ngwe ya kwanza kwa kutoshana nguvu kwa bao 1-1.

0 comments:
Post a Comment