Wafanyakazi wa vyuo vya mafunzo vya mifugo (LITA) Morogoro Sebastinane Sabubi, Michael Shawala na Hiza Rose wakionyesha namna wanavyotoa huduma kwa wanyama wakati wa kilele cha maadhimisho ya sherehe za wafanyakazi duniani (MEI MOSI) iliyofanyika kimkoa wa Morogoro uwanja wa jamhuri leo.
MEI MOSI 2015 YAFANA MORO.

0 comments:
Post a Comment