BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

ASKARI POLISI ACHOMWA KISU KICHWANI NA KIJANA MDOGO.




Polisi akiwa amefungwa bandeji kichwani baada ya kujeruhiwa.
 
Askari polisi mmoja wa Israel, ameumia vibaya aliposhambuliwa kwa kisu katika eneo la mashariki mwa Jerusalem, ambalo linakaliwa na Israel.


Polisi wa Israel wanasema, walimpiga risasi na kumjeruhi kijana mdogo wa Kipalestina, aliyefanya shambulio.

Jambo hilo limetokea nje ya lango la asili, la Damascus Gate, la kuingilia mji wa kale.

Siku mbili zilizopita, mwanamume aliyekuwa na silaha, alimpiga risasi na kumuua mwanamume wa Israel, na kumjeruhi mwengine, katika ufukwe wa magharibi, unaokaliwa.BBC
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: