Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwa katika picha ya pamoja na vijana wa kikundi cha ujasiriamali ya Kilimani baada ya kuzindua mitambo ya kusukuma maji mjini Chato.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia katika mkutano wa hadhara mjini Chato,mkoani Geita,wakati wa ziara ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi cya chama hicho pamoja na kusikiliza kero za wananchi na kuzitafutia ufumbuzi.
Katibu Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye, akihutubia katika mkutano wa hadhara mjini Chato, Mkoa wa Geita,wakati wa ziara ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi cya chama hicho pamoja na kusikiliza kero za wananchi na kuzitafutia ufumbuzi.
Komredi Kinana akikagua gwaride la Chipukizi wa CCM, alipowasili katika Kata ya Kasenga, wilayani Chato, alipoanza ziara katika Mkoa wa Geita, baada ya kumalizaziara katika Mkoa wa Kagera jana.
Komredi Kinana akikata utepe kuzindua rasmi Ofisi ya CCM Kata ya Kazunguti, wilayani Chato.
Komredi Kinana akihutubia katika mkutano wa hadhara katika Kata ya Kazunguti, wilayani Chato.
Komredi Kinana akizindua mitambo ya kusukuma maji katika mjini Chato.
Kinana akikagua mitambo hiyo ya kusukuma maji
Kinana akisaidia kumtwisha ndoo ya maji Mama mkazi wa Chato yaliyotekwa kwenye bomba wakati wa uzinduzi wa mradi wa maji wilayani Chato
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
Home / kitaifa
/ KATIBU MKUU WA CCM NA KATIBU WAKE WA ITIKADI NA UENEZI WAVURUGA MJI WA CHATO GEITA.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment