BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MTOTO WA RAIS AMGONGA MTU NA GARI KISHA KUFARIKI DUNIA NA KUTOZWA FAINI YA SH1,6 MILIONI.

http://i3.mirror.co.uk/incoming/article5228788.ece/ALTERNATES/s615/Motoring.jpg
 

Mwana mkubwa wa kiume wa mke wa rais wa Zimbabwe Grace Mugabe amepatikana na hatia ya kuua bila kukusudia na kupigwa faini ya dola 800 sawa sawa na Tsh1.6 Milioni fedha za kitanzania.

Russell Goreraza alimgonga na kumuua mwanamume mmoja ambaye hakutambuliwa katika gari lake katika mji mkuu wa Harare mnamo mwezi Februari.

''Ninajuta na ningependa kuomba msamaha kwa kitendo hicho'', Kijana huyo wa miaka 31 aliimbia mahakama.

Hakimu huyo alisema kuwa aliamua kuifutilia mbali leseni ya kijana huyo na kumpatia hukumu ya kifungo cha jela lakini akabadilisha nia yake kutokana na majuto yake.

Douglas Chikwekwe amesema kuwa hatua kwamba Goreraza alitekeleza kitendo hicho kwa mara ya kwanza pia kuliathiri uamuzi wake.BBC
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: