Mwanamke mmoja nchini Nigeria ametangaza kupitia redio kuwa anatafuta mume, akisema atampa gari na nyumba. Mamia ya wanaume walifurika kituo cha radio cha Freedom, mjini Kano ambapo polisi walilazimika kuitwa kutuliza watu.
Msichana huyo, Zainab Abdulmalik, 22, amesema alikuwa amekasirishwa mno na 'boyfriend' wake wa zamani. Mtangazaji wa redio - Nasiru Zango- ameiambia BBC kuwa Zainab alichagua mchumba kutoka katika mlolongo mrefu wa wanaume waliokuwa wamejipanga nje ya kituo cha redio na kuondoka.
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
Home / kimataifa
/ WAUME WAFURIKA KITUO CHA REDIO BAADA YA MWANAMKE KUTOA TANGAZO LA KUTAKA MWANAUME.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment