Picha askari akimpekea mtu katika moja ya majukumu yao.Picha kwa msaada wa mtandao.Wakuu wa Nigeria wanasema kuwa wamevamia mara kadha nyumba za mshauri wa usalama wa zamani.
Idara ya usalama wa taifa imesema kuwa uvamizi huo umefanywa kufuatana na taarifa za upelelezi za kuaminika, zilizomhusisha Mohammed Sambo Dasuki na mipango ya kufanya uhalifu dhidi ya taifa.
Ilisema kuwa bunduki na zana nyengine za kijeshi zilikutikana kwenye nyumba hizo zilizovamiwa.

0 comments:
Post a Comment