BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

BREAKING NEWS ! BASIL MRAMBA, DANIEL YONA WAHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA MITATU JELA PAMOJA NA FAINI NA MAHAKAMA YA KISUTU DAR ES SALAAM



Former cabinet ministers Basil Mramba (left) and Daniel Yona (right), as well as former Treasury permanent secretary Gray Mgonja appear at the Kisutu Resident Magistrate’s Court in Dar es Salaam.
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewahukumu kwenda jela miaka mitatu waliowahi kuwa mawaziri ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambao ni Basil Mramba aliyekuwa waziri wa Fedha na Daniel Yona aliyekuwa waziri wa Nishati na Madini kwa matumizi mabaya ya madaraka kuisababishia serikali hasara ya shilingi bilioni 11.7
Hata hivyo aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Gray Mgonja ameachiwa huru baada ya kukutwa hana hatia. Chanzo: ITV & Radio One.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: