BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

BUNGE WA CCM KATIKA MJI WA KAHAMA JAMES LEMBELI AJIUNGA RASMI NA CHADEMA.

Name:  11782252_382437711948833_6657822172570173091_o.jpg
Views: 13236
Size:  55.9 KB Mbunge mashuhuri wa chama cha Mapinduzi (CCM) James Lembeli amekihama chama hichi na kujiunga rasmi na chama kikuu cha upinzani cha CHADEMA leo.

Kwa mujibu wa msemaji wa chama hicho cha Chadema, Tumaini Makene ameeleza tayari ameitisha mkutano na waandishi wa habari ambapo chama hicho kinachounda umoja wa Katiba ya Wananchi-UKAWA kitamtambulisha mbunge huyo rasmi kama mwanachama wake na itaelezwa sababu za kujitoa ndani ya CCM na kujiunga CHADEMA.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: