HUYU NDIYE MBUNGE MWINGINE WA CHADEMA ANAYEKIKIMBIA CHAMA mtanda blog 7:48 PM siasa , slider Edit Mh John Shibuda ameandika barua kamati kuu ya chadema ya kuomba kukoma kuwa mwanachama wa Chadema baada ya bunge hili kuvunjwa. Kamati kuu ya Chama imeridhia na kumtakia safari njema na mafanikio mema huko aendako. Share on Facebook Share on Twitter Share on Google Plus About mtanda blog Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment