Kijana Daudi Paulo Msungu jana 19 Julai 2015 aliwasiri Makao ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Manispaa ya Lindi kisha kuchukua fomu ya kuwania kiti cha ubunge katika jimbo la Lindi Mjini kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi mkuu Oktoba 25 mwaka. Vijana wamekuwa na mwamko wa kuwania nafasi mbalimbali hasa kwa upande wa siasa kuwania uongozi wa kuchaguzi katika nafasi ya Udiwani na Ubunge.
0 comments:
Post a Comment