
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete, akizungumza jambo huku Katibu Mkuu Abdurahaman Kinana akimwangalia kwa mshangao.
Mwenyekiti huyo wa CCMA NI kama anasema hivi "asiyetaka kukatwa jina lake ili libakie jina moja ahame tu, tunataka tubaki na mmoja tu ndiyo awe chaguo la CCM katika kupeperusha bendera yetu katika uchaguzi mkuu ujao oktoba 25 mwaka huu."
NAPE NNAUYE AONGEA NA WAANDISHI WA HABARI.
Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari nje ya Ukumbi wa White House, Mjini Dodoma leo Julai 10, 2015 akieleza taarifa juu ya kuchelewa kwa vikao vya CCM ambavyo vilikuwa vianze Julai 8, 2015 amesema kuwa vikao hivyo vitakuwa vikianzia saa 4 asubuhi na tano bora na tatu bora ya Wagombea itafahamika leo hii.

0 comments:
Post a Comment