BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

WATANZANIA WANAOPANDA DALADALA KAMA USAFIRI WAO WANAFAIDI HAYA MANENO LAKINI TAFSIRI YAKE NI BALAA TUPU.

WASIOPANDA DALADALA WANAKOSA UHONDO WA KAULI HIZI:
1) Nitakupa.
2) Atakupa mbele.
3) Hujapewa mbele?
4) Utapewa nyuma.
5) Nitakupa nikikaa vizuri.
6) Ngoja isimame nikupe.
7) Subiri asimamishe nikupe.
8) Hivi nilivyokaa nitakupaje?
9) Utapewa  tulia.
10) Nikupe mara ngapi?
11) Msimpe nimeshampa huku mbele

Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: