JESHI LA POLISI LAWAZUIA CHADEMA NA CCM KUTUMIA VIKUNDI VYAO VYA ULINZI KATIKA KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU NCHINI mtanda blog 7:22 PM siasa , slider Edit Jeshi la Polisi limevipiga marufuku vikundi vyote vya ulinzi vinavyomilikiwa na vyama vya siasa nchini. Paul Chagonja Amesema, amepiga marufuku vikundi vyote vya ulinzi vya vyama vya siasa na huku akitoa onyo kali kwa atakayekaidi. Chanzo: EATV Share on Facebook Share on Twitter Share on Google Plus About mtanda blog Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment