''CNN wameomba msamaha kwa ripoti yao ya uongo'' Kenyatta
Baada ya malumbano makali kati ya wa-Kenya na shirika la habari la habari la kimataifa la CNN,limeomba radhi Kenya kuhusiana na taarifa iliyopeperushwa hewani,ikidai kuwa Kenya ni kitovu cha ugaidi.
Mkurugenzi mkuu, wa CNN Tony Maddox alizuru Nairobi hiyo jana na kukutana na uongozi wa Kenya na kuomba radhi.Rais Uhuru Kenyatta kupitia mtandao wake wa Twitter alisema kuwa Bwana Maddox ameomba radhi kibinafsi.
Rais Kenyatta alisema kuwa Maddox alikiri kuwa Mwandishi wa habari hiyo alikosea.'Kwa kweli Kenya sio kitovu cha ugaidi'' alisema Maddox Kenyatta 'CNN wamekiri kuwa ripoti hiyo haikuwa ya kweli' Wakeny.BBC

0 comments:
Post a Comment