Mgombea ubunge jimbo la Shinyanga mjini na Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa, Patrobas Katambi inasemekana ametekwa muda mfupi uliopita na kunyang'anywa fomu zake za ubunge.
Nimezungumza na Mwenezi wa jimbo hilo na kuthibitisha hilo lakini pia simu ya mgombea haipatikani.
Nimeongea pia na Mbunge, Rachel Mashishanga sasa hivi na kuthibitisha hili.CHANZO:http://www.jamiiforums.com

0 comments:
Post a Comment